Bakora Kundi la vijana wenye vipaji katika fani ya uigizaji hasa comedy limekua gumzo ndani ya Jiji la Dar Es Salaam.Kundi hili lenye maskani yake Ukonga Markaz linalofanya kazi zao chini ya Mzoro Solutions Co Ltd na kuonyesha kazi zao star tv.
Bakora Kundi linaundwa na Emcee Mtz,Koko wa Masoko na Tongoi Master linaikimbiza sanaa ya bongo kwa comedy.
Cheki vibweka vyao hapo juu,uvunjike mbavu. kwa taarifa zaidi tembelea www. guta86.blogspot.com .
No comments:
Post a Comment