Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Thursday, April 12, 2018

HAMISA MOBETO AZID KUTREND

Hamisa  Mobeto  mke mdogo wa  Diamond platinum's amezidi ku-trend  katika vyombo habari na kuonekana lulu.

Hamisa alomzalia Diamond ameonekana kufanya vzuri kwa kila jambo na kujipatia mashabiki kibao huku akiwapiga bao wapenzi wa zamani wa Diamond nabaadhi yao kufunguka.

Wema Sepetu amefunguka juu ya hilo na kusema Hamisa hamuumizi kichwa .

No comments:

Post a Comment