Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Saturday, May 12, 2018

MKE WA ALI KIBA AVURUGA CLOUDS FM

Mke wa star wa bongo flava Ali Kiba ametoa kauli kibao zenye kuonyesha upendo wa hali ya juu kwa mmewe huyo mwenye sauti safi na yenye kuweza kumtoa pangoni nyoka.

Mke huyo mwenye asili ya kenya ameongea hayo akiwa katika radio maarufu hapa nchini Clouds fm.

No comments:

Post a Comment