Baada ya wakazi wa Maeneo ya Mombasa kutambua na kugundua wapi wanaweza kupata mavazi sahihi ya kiume kwa rika zote Naomi Classic imekua chaguo lao.
Duka hili lililopo maeneo ya Mombasa Mazizini limejizolea umaarufu mkubwa kwa wakazi wa maeneo tofauti katika jiji la Dar na mikoani kwa ujumla.
Naomi Classic wamekua wadau wakubwa kuhakikisha vijana,watu wa makamo,na wazee wa jinsia ya kiume wanapata nguo zilizo safi na za kuvutia zenye mitindo ya kisasa kabisa.
Naomi Classic hutoa huduma zao bila kujali muonekano wa mteja ama eneo alilopo na kumfikia popote pale ndani ya nchi na nje ya nchi kwa gharama nafuu sana.
Kwa taarifa sahihi Zaidi na ushauri unaweza kutembelea www.guta86.blogspot.com pia kwa mawasiliano ili uweze kupata huduma zao kiurahisi popote ulipo :-
E-Mail : 86guta@gmail.com
Phone No : 0686971676
Pia unaweza kutembelea Facebook page: Guta86.blogspot.com
Instagram : guta86.blogspot
Twitter :@gutatanzani
Huduma bora,Nguo bomba,muoneka bomba na wa kuvutia, kwa gharama nafuu,fika Naomi Classic Mombasa Mazizini.
No comments:
Post a Comment