Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Friday, April 27, 2018

RAIS MAGUFULI NA MUUNGANO


Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ameendelea kuhimiza na kuulinda Muungano huo kwa nguvu na kutumia kauli mbiu yake hapa kazi tu.


Rais Magufuli amesema kua ataulinda Muungano kwa kufuata kanuni na taratibu za nchi zilizoachwa na Waasisi wa Taifa hili Mwl J.K.Nyerere na Abeid Aman Karume.

Rais Magufuli anatekeleza hayo yote kwa uhirikiano na Rais wa Zanzibar Mh Dkt.Shein kama ilani ya chama cha Mapinduzi inavyosema pia Serikali ya Jamhuri.

Katika maadhimisho hayo Rais Magufuli aliwaasa Watanzania wa ndani na nje ya nchi kutojihusisha na aina yoyote ya matukio ama vitendo vitakavyochochea uvunjifu wa amani.

Kauli hiyo inaambatana na kile alichokifanya Mangekimambi kupitia account yake ya Instagram kuhamasisha Watanzania wote kuandamana kupinga utawala wa uliopo madarakani.

No comments:

Post a Comment