Brand kubwa katika suala zima la habari za
siasa,kitaifa,kimataifa,michezo,burudani,na kijamii pia brand yenye uwezo wa
kufanya online marketing (masoko kwa njia ya mtandao) imejitoa katika utaratibu
wa ufanyaji kazi kwa kushirikiana Mzoro kampuni.
Guta86.blogspot.com
walifanya kazi kama marketing agency wa mzoro kampuni lakini kutokana na kutokuwepo na
maelewano na kuibuka kwa mvurugano guta86.blogspot.com
wametoka na kuendelea na harakati zao.
Guta86.blogspot.com
na mzoro kampuni walifanya kazi kama partner bila kuingilia shughuli za upande
mwingne wakiwa na lengo la kuweka nguvu pamoja.
Hakuna eneo lolote ambalo guta86.blogspot.com wameathirika zaidi ya kuongeza nguvu na
kuonekana kupenya zaidi na kua tishio
katika yale yote yanayofanyika ndani yake.
Tembelea guta86.blogspot.com
kwa habari za uhakika na fursa nzima ya ujasiriamali.
No comments:
Post a Comment