Ni katika kuhakikisha Watanzania wanapata elimu bora na uwezo wa kujiajiri pia kuajiriwa katika taasisi,makampuni,na sekta binafsi imepelekea Chuo cha IPS kilichopo Chanika,Ilala,Dar es salaam kupata utatuz wa jambo hilo.
IPS ni Chuo chenye fani mbalimbali na kinausajili wa kudumu na kina usajili wa VETA Kwahyo pia kinatoa mafunzo ya fani husika zinazotambulika na VETA.
IPS(Institute of Procurement and supply) kina walimu wa kutosha wenye uwezo na kuthibitishwa pia vigezo vya ufundishaji.
Unaweza kufika chuoni hapo kwa uhakika zaidi na kupata muongozo ulio bora kabsa kwa elimu sahihi.
Unaweza wasiliana na Chuo kupitia namba 0686 971 676 na email address 86guta@gmail.com.
Karibu IPS kwa elimu bora kabsa.
Asanten
No comments:
Post a Comment