Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Wednesday, May 8, 2019

FURSA #NAFASI NI YAKO#KATIKA SIBUKA TV KUPITIA STARTIMES NA ZUKU

Kipind bora kabsa cha Wa tanzania wote wenye malengo na maono chanya kimeanza kuruka kupitia SIBUKA TV ya jijini Dar Es Salaam inayopatkana katika king'amuzi cha ZUKU na STARTIMES.

FURSA ni kipindi kinachotoa elimu ya ujasiriamali na shughuli mbalimbali zinazofanyika ndani ya nchi yetu ya Tanzania.

Kipindi hiki kimejizolea umaarufu mkubwa sana kwa wakazi wa Dar Es Salaam baada ya kuonekana kukidhi mahitaji yao hasa katika suala zima la kukuza na kuendeleza taarfa sahihi juu ya mabadiliko ya maendeleo nchini yanayofanywa na watanzania.
Kupitia kipind hiki unapewa NAFASI ya kushiriki kwa kutoa NAFASI ili jopo zima la FURSA likufiki na kufanya mahojiano ndani ya kipindi hiki booraaa kabsa.
Tembelea zaidi blog ya kijanja guta86.blogspot. Com na you tube Chanel ya FURSA NAFASI ni yako pia instagram@fursa NAFASI ni yako Sambamba na Facebook fursa NAFASI ni yako.
Unakaribishwa kutangaza biashara yako kupitia kipindi hiki popote pale tulip ndani na nje ya nchi
Fursa #nafasi ni yakooooooo#

No comments:

Post a Comment