Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Friday, June 21, 2019

FURSA #NAFASI NI YAKO# NA BUSHBUCK SAFARI ARUSHA

Kipindi bora kabsa cha TV kupitia SIBUKA TV ya jijin Dar es salaam, Tanzania inayopatikana katika ving'amuzi vya ZUKU na STARTIMES kila jumatano na jumamosi saa 12:00 jion kimeendelea kua kipindi bora kabsa cha wajasiriamali wa Kitanzania.

Kipindi hiki kimefanikiwa kukutana na wajasiriamali wa Kitanzania na kuonyesha nguvu kubwa hasa Kwa kuitangaza Tanzania.

Crew nzima ya FURSA ilifanikiwa kufanya mazungumzo na moja ya kampun kubwa sana ya kitalii jiji Arusha inayojulikana Kwa jina la Bushbuck inayomilikiwa na Mr Mustafa Panju.

Hii imekua ni njia pekee ya kuitangaza Tanzania na kukuza ujasiriamali wa kitanzania.

No comments:

Post a Comment