Lil Durk ninja katika masuala ya freestyle na lyrics za hatari anazidi kukiwasha na ngoma yake kali inayokwenda kwa jina la Cross Roads.
Gucci man huyo mwenye ngozi nyeusi(black American) amekua gumzo na ku-trend katika mitandao kibao nchini humo.
Sambamba na ngoma hiyo Lil Durk amekua akitamba na ngoma kama Pick your Poison
No comments:
Post a Comment