Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Monday, April 23, 2018

MAGUFULI KAMA FIDEL CASTRO



Rais John Pombe Magufuli ameendelea kuwa katika headlines kwa zaidi ya miezi 8 sasa toka aingie ikulu za Tanzania.

Rais huyu anaeonekana mchapa kazi na jasiri amekua akitolewa mfano na marais mbali mbali wa Dunia hii na hata kufananishwa na Fidel Castro wa Cuba kwa aina ya kasi aliyonayo kuhakikisha analifikisha Taifa lake kimaendeleo kama alivyoahidi.

John Pombe amekua na misingi imara ya ufanikishaji wa uboreshaji wa miundo mbinu ya kisasa itakayopelekea Taifa kuingia sawasawa katika Uchumi wa viwanda na kuwa na uchumi wa kati.


Fidel Castro aliweza kutengeneza mpango mkakati ulioiwezesha nchi ya Cuba kujijenga kiuchumi na kuwa na usalama wa hali ya juu na kuwa katika hali nzuri sana ya ufanikishaji wa maendeleo ya nchi hiyo.

Fidel Castro alikua rafiki mkubwa sana wa Rais wa kwanza wa Tanzania Mwl Julius Nyerere.

No comments:

Post a Comment