Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Wednesday, May 2, 2018

KANYE WEST MATATANI

Rapper maarufu nchini Marekani anaejulikana kwa jina la Kanye West amejikuta ktika wakati mgumu baada ya kusema Utumwa ilikua ni chaguo la Waafrika.

Kanye West amejikuta akitukanwa na kupewa lawama mbalimbali kutokana na kauli yake hiyo inayotaka kufanana na aliyotoa Rais Donald Trump katika mbio za uchaguzi wa Taifa hilo.

No comments:

Post a Comment