Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Saturday, May 12, 2018

NAOMI CLASSIC WEAR YAPATA SHAVU

Naomi Classic Wear ni duka la nguo linalopatikana maeneo ya Mombasa jijini Dar,duka hilo limejizolea umaarufu mkubwa baada ya kuwa na pamba kali na za kupendeza sana.

Kutokana na hilo vijana wa BAKORA PIONEER wametumika katika kulitangaza duka hilo kupitia star Tv katika BAKORA SHOW kipindi maarufu sana kinachoruka kila siku ya jumapili saa 12:30 jioni,jumatano saa 9 alasiri na Ijumaa saa 1 jioni..



No comments:

Post a Comment