Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Monday, June 11, 2018

MABAKI MALI KWA UBUNIFU SAHIHI.


Wajasiriamali wa Tanzania wameendelea kufanya vizuri na kutimiza mpango wa Rais Magufuli kuhakikisha Tanzania inakua nchi ya viwanda.

MABAKI MALI chini ya Irene Missanga Muja wamfikia hatua ya kutumia mabaki ya tairi za magari kutengeza samani zenye ubora wa hali ya juu na zenye kuridhisha.

Irene Muja na MABAKI MALI amepata nafasi ya kuonyesha ubunifu wake na bidhaa wanazotengeneza kupitia maonyesho ya utunzaji wa mazingira yaliyofanyika mnazi mmoja.


No comments:

Post a Comment