Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Monday, April 23, 2018

BAKORA YAZIDI KUFUNIKA


Kundi la vichekesho linalokwenda kwa jina la BAKORA limezidi kuwapa homa wasanii wa comedy Tanzania.

Bakora linaloundwa na wasanii 3 manguli wanaikimbiza bongo na kuwanyima usingizi wakongwe kwa kile wanachokifanya.

Bakora inayorushwa kipindi chake kupitia Star Tv kila jumapili imeendelea kufanya vizuri sana.

No comments:

Post a Comment