Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Tuesday, April 24, 2018

HABARI ZA MAGAZETI YA LEO 24 APRL


TRENI YA MWENDO KASI

WIZARA ya Ujezi, Uchukuzi na Mawasiliano imeliomba Bunge liidhinishe jumla ya Sh trilioni 4.27 huku kipaumbele kikiwa ni kujenga barabara zenye urefu wa kilomita 597.1 kwa kiwango cha lami, kununua ndege mbili na ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR).

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema hadi kufika mwishoni mwa mwaka 2019 Watanzania wataanza kusafiri kwa kutumia treni za mwendokasi. 

Pia Sh bilioni 100 zimetengwa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa reli ya Isaka – Rusumo (km 371) kwa SGR kwa kushirikiana na Serikali ya Rwanda,Habari leo limeripoti.



Kwa habari nyingine nyingi zaidi peruzi kurasaza magazeti hayo.......

No comments:

Post a Comment