Wakazi wa Buza na maeneo kibao toka jiji la Dar Es Salaam wameendelea kumiminika katika Mgahawa maarufu sana unaotoa huduma booraa sana.
Mgahawa huo unaojulikana zaidi kwa jina la WANONDE RESTAURANT unatoa huduma iliyo sahihi na salama kwa wateja wake na kuibua kauli mbiu ya WAMOTO.
Hapo utapata kuku wa kuokwa,Juice safiii,Wali samaki kutoka ziwa victoria na vyakula vingi tofauti tofauti.
guta86.blogspot.com kupitia kwa mwakilishi wake the CEO wa Mzoro Solutions Co.Ltd Paul Issayah Mzoro ilifika katika mgahawa huo na kupata huduma booraa kabisa.
No comments:
Post a Comment