Wekundu hao wa mtaa wa msimbazi wameipa kichapo cha hatari watani wao wa jadi Yanga kwa kuisambaratisha bao moja bila.
Ushindi huo umeiweka katika mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu bara na kuwaacha wapinzani wao wa jadi hao.
Ushindi huo umewafanya Yanga kuwa kichwa cha mwenda wazimu wakutanapo na Simba kwa miaka hii ya karibuni.
Baada ya mchezo huo kumalizika na Simba kupata ushindi huo maneno ya Haj Manara yametimia.
No comments:
Post a Comment