MAGUFULI AFUNGUA BARABARA IRINGA KAMA ALIVYOFANYA BABATI
Rais John Pombe Magufuli amefanya ufunguzi wa Barabara ya Iringa na kuendeleza sera na kauli mbiu ya Hapa kazi tu na kuendeleza mapinduzi ya uboreshaji wa miundo mbinu na kuelekea kwenye mfumo wa uchumi wa viwanda.
No comments:
Post a Comment