Msanii wa muziki wa kizazi kipya anaetamba kwa sasa ndani na nje ya Tanzania Diamond Platnum ameweza kupata nafasi ya kupanda ndege mpya ilioingia nchini jumapili.
Diamond alipata nafasi hiyo mbele ya Rais John Pombe na kuweka historian katika maisha yake ya kisanii.
Mbali na hilo hii imedhihilisha kua Rais anatoa kilaumbele na kujali Sana'a ya Tanzania na wasanii wake.
No comments:
Post a Comment