www.guta86.blogspot.com
HOMEADDRESS: UPANGA -ILALA ,DAR ES SALAAM.PHONE NO.+255
719 797 295,+255 686 971 6 76.
Email:86guta@gmail.com08/08/2018.
|
WWW.guta86.blogspot.comni web blog iliyoanzishwa,kusimamiwa na kuongozwa na Edwin .N.Malima ambayeni Mtanzania mwenye Elimu yaUtawala waBiashara(Business
Administration )akiwa na lengo la kuandaa,
kutoa,kufikisha na kusaidia Watanzania kupata habariza kina
zenye uhakika zinazojengaTaifa.Pia kutengeneza uwezokwaWatanzania kupata njia bora na sahihi za masoko(Marketing).
Edwin.N.Malima amepata nafasi ya kushiriki katika mradiwauzalishajiwamkaa unaotokana na makaaya mawe unaojulikana kwa jina
la MKAA SONGWEunaotoka katika mgodiwa MAGAMBAMkoaniSongwe,Teknolojiayauzalishwaji wamkaaSongwe imebuniwa nakuanzishwa na Mchumi mkuu wa mkoa wa SongweBi Halima Mpitamwaka2017,ambaye pia niKaimu Katibu Tawala Msaidizi Serikali za Mitaa na
Investment Coordinator MkoawaSongwe.
Bi HalimMpita ndiye mtafitimkuuwaMkaaSongwe,mradi huu ukochini ya usimamiziwa Mkuu waMkoa wa SongweL uteni Mstaafu Mh Chiku Gallawa.
Edwin
.N.Malima amekuaMtanzania wa kwanza kutengeneza na kusimamia mbinu,taratibu,njiataalamu za uingizwaji wa mkaa songwe katika soko jijini
Dar Es Salaam nchini Tanzania kupitiaguta86.blogspot.com,Star Television ya jijini Mwanza
kupitiakundi la sanaa za maigizo(vichekesho)lijulikanalo kwa jina la BAKORA PIONEER la jijini Dar Es Salaam katika kipindi
cha TV kijulikanacho kwa jina la BakoraTv
Show ,mitandao ya kijamii,na vyombo ama vyanzo vingine vya habari Tanzania mwaka 2018.
Mpango mkuuwa mradi huu ukiwa ninishati mbadala na hatilia,kuhifadhinakulinda mazingira,kuondoa tatizo
la ukatajiw amiti,kuendeleza uanzishwajiwa viwandaTanzania,ajirakwavijana,matumizi sahihi ya maliasiriza nchi kwa faidaya Taifa
,nk.
Nice
ReplyDelete