Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Tuesday, April 17, 2018

ALI KIBA APATA BARAKA ZA JK.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayejulikana sana nje na ndani ya TANZANIA  kwa kuonyesha umahiri wake wa kuimba na kuwa mmoja kati ya wasanii wanaotamba katika industry hiyo kwa zaidi ya miaka 20 sasa amepokea baraka na heshima kubwa.

Ali Kiba maarufu kama King Kiba amekua msanii maarufu nchini Tanzania kuweza kudumu katika mahusiano yasiyokua na skendo hadi kufikia kufunga ndoa halali kwa mujibu na taratibu za kidini.

Ali Kiba akiambatana na rafiki yake wa karibu Ommy Dimpoz walifika mbele ya Rais Mstaafu Mh Jakaya Kikwete na kupokea baraka juu ya ndoa yake hiyo.

Ali Kiba ameweza kuonyesha jamii nzima hasa Afrika Mashariki kua anajitambua na anafuata taratibu zote halali katika suala hilo.


No comments:

Post a Comment