Paul Makonda ameanzisha utaratibu utakao wasaidia kina mama wajane kupata msaada utakao wapa nafasi ya kupata huduma ya kuwawezesha watoto wao kwa kila familia.
Jambo hilo limepokelewa kwa furaha na wakazi wa jiji la Dar Es Salaam kiasi cha kumpa nafasi kubwa kiongozi huyo na Serikali yake iliyopo madarakani.
No comments:
Post a Comment