Watu Zaidi ya 7 wameuawa nchini Ethiopia baada ya mtu mmoja kujitoa muhanga kwa kujilipua ndani ya Hotel.
Mtu huyo aliejilipua alitekeleza shambulio hilo tarehe 28/4/2018 na kusababisha vifo vya watu hao na kundi la Alshababu wlimejitokeza hadharani na kudai kuwa limehusika katika shambulio hilo.
No comments:
Post a Comment