Rais wa Korea kaskazini ametoa tamko kua atafunga kituo chake cha majaribio ya nuclear. Ameyasema hayo alipokutana na Rais wa korea kusini na kuwekeana makubaliano ya kusimamisha vita dhidi yao. Pia kuna uweekano mkubwa wa Rais huyo wa korea kaskazini kukutana na Rais wa Marekani Dolnad Trump.
No comments:
Post a Comment