Katika Eneo la Ukonga Markaz guta86.blogspot.com ilifika na kushuhudia barabara za eneo hilo zikiwa katika hali mbaya na kusabisha wakazi wake kuwa katika wakati mgumu katika suala zima la usafiri.
Hali hiyo imepelekea baadhi ya magari kukwama na kuwapa vijana kipato ili kunusuru uwezekano wa kuharibika kwa magari hayo.
Maji yamekua yakifuata mkondo wa bonde na kuharibu kabisa barabara za mitaani.
No comments:
Post a Comment