Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Tuesday, April 17, 2018

SHAW DIMBANI KUANZA DHIDI YA BOURNEMOUTH

Mlinzi huyo wa kushoto wa timu ya Manchester United anatarajia kuitwa kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo ya mashetani wekundu. 
Luke Shaw alionekana akieelekea kwenye uwanja wa mazoezi( Carrington Park) akiwa kwenye gari lake aina ya Range Rover. 

Kocha wa timu hiyo Jose Mourinho hakumchezesha mechi iliyopita dhidi ya Westbromwich Albion ambayo Manchester walishindwa kupata matokeo mazuri wakiwa nyumbani.

No comments:

Post a Comment