Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Tuesday, April 17, 2018

Mwl NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT YAJAA MAJI

Uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere umeonekana kujaa maji kutokana na  mvua zinazoendelea ndani ya jiji.

Mwl Nyerere Airpot imeonekana kuwa katika hali ya kujaa maji na kusababisha ndege  zinazofanya safari kuanzia uwanjani hapo kupata tabu pindi zianzapo safari.

Uongozi umeonekana katika hali ya kuweka mbinu ama njia mbadala ya kuondoa maji hayo ili kuondoa tatizo hilo.


No comments:

Post a Comment