Msanii
wa bongo fleva anayefahamika kwa jina la Jebby ambaye amewahi kufanya vyema na
wimbo kama Swahiba amefariki dunia leo April 22, 2018 mjini Dodoma alipokuwa
akipatiwa matibabu.
Msanii
Afande Sele pia amethibitisha hilo na kusema kuwa Jebby alikuwa anasumbuliwa na
matatizo hayo ya bandama na kuwa leo ndiyo amefariki dunia.
"Hayupo
tena duniani swahiba...pumzika kwa amani mdogo wangu wa haki Jebby.
Tukimaliza
kazi tutavalishwa taji" alisema Afande Selle
Mungu
ailaze roho yake mahala pema peponi.
No comments:
Post a Comment