Ali Kiba amefunga ndoa na mpenzi wake mwenye asili ya kenya na kuwabwaga warembo kibao alowahi kudate nao hapa Bongo Tanzania.
Baadhi ya warembo hao kutoka Bongo ni pamoja na Jokate,na mara kwa mara Ali Kiba aliwahi kuonekana na Jokate wakila maisha sehemu tofauti tofauti ndani ya Bongo.
Ali Kiba amekua msiri sana juu ya mahusiano yake na mpenzi wake huyo ambae amemchagua na kufunga nae ndoa na baadhi ya watu wamekua wagumu kuamini hilo.
No comments:
Post a Comment