Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Friday, April 27, 2018

WANAFUNZI AIR WING HIGH SCHOOL WAFURAHIA


Wanafunzi wa kidato cha sita(6) katika shule ya secondary Air Wing jijini Dar Es Salaam wamefurahia mahafari yao leo tarehe 27/4/2018.


Baadhi ya wanafunzi hao wameiambia guta86.blogspot.com kuwa hii ni moja ya siku ambazo hawataisahau katika maisha yao na kuwa ni alama isiyofutika kwao katika maisha ya elimu.

Wazazi,ndugu,jamaa na marafiki walifika shuleni hapo kuweza kuungana na wanafunzi hao katika mahafari yao.

No comments:

Post a Comment