Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Friday, April 27, 2018

LADY JAY DEE APATA MSIBA MZITO


Mama Mzazi wa msanii maarufu wa kike nchini Tanzania Lady Jay Dee amefariki na kuwapa wakati mgumu familia yake na wakazi wa eneo hilo.

Mzazi huyo ametoweka ama amekumbwa na mauti baada ya kuugua kwa muda mrefu na jana siku ya Alhamis ndipo mauti ilipomkuta.

Msiba huo unawalenga watanzania wote na hasa wakazi wa Kiwalani alipokua akiishi mama Jide.


Guta86.blogspot.com kupitia kwa mwakilishi wake anaejulikana zaidi kwa jina la Rymes ilipata taarifa hizo kwa njia ya simu kutoka kwa mdogo wa Jide anaekwenda kwa jina la Dabo.

Kutokana na taariffa hizo Guta86.blogspot.com inawapa pole wafiwa wote na Watanzania kwa ujumla.

Mungu ailaze mahala pema  peponi roho ya Maerehem.

No comments:

Post a Comment