Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Friday, April 27, 2018

MSANII DABO APATA WAKATI MGUMU


Msanii wa muziki wa reggae nchini Tanzania anaekwenda kwa jina la DaBo wiki hii amekua katika wakati mgumu sana baada ya kukumbwa na Msiba.


DaBo amefiwa na mama yake mzazi na msiba huo upo maeneo ya Kiwalani Jijini Dar Es Salaam,Tanzania.

DaBo ambae ni mdogo wa nguli wa mziki wa Bongo Flava Lady Jay Dee  na mtu wa karibu sana na Wakazi ameelezea mazingira ya msiba huo na kuonekana ana majonzi makubwa.

Guta86.blogspot.com inatoa pole kwa msanii huyo na watanzania wote kwa ujumla.

No comments:

Post a Comment