Katika mtanange wakuwania ubingwa wa ligi kuu soka bara, mechi ya Lipuli dhidi ya vinara wa ligi kuu Simba sports club imesogezwa mbele, mechi hiyo iliotarajiwa kufanyika tarehe 20 April imesogezwa hadi tarehe 21 April.
Mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa ambao timu hiyo inautumia kama uwanja wake wa nyumbani.
Sababu zilizopekea kuahirishwa kwa mchezo huo ni kipisha shughuli za kijamii zitakazofanyika katika uwanja huo.
No comments:
Post a Comment