Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Tuesday, April 17, 2018

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM ATOA TAMKO RASMI

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh Paul Makonda ametoa tamko rasmi kuhusiana na mvua zinazoendelea kunyesha jiji hapa.

Paul Makonda ameagiza kusimama kwa masomo  katika shule mbalimbali kwa muda wa siku mbili ndani ya jiji hili la Dar Es Salaam.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya kuwepo kwa madhara mbali mbali yanayosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchi nzima na kuwapa wakati mgumu wanafunzi pia walimu kufika kwa wakati mashuleni.



Tamko hili pia linaambatana na muendelezo wa Mh Paul Makonda kuhakikisha anatatua suala zima la kupatikana kwa Elimu bora ndani ya jiji hili.


No comments:

Post a Comment