Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Tuesday, April 17, 2018

MVUA ZAENDELEA KUNYESHA JIJINI DAR

Mvua kubwa zimeendelea kunyesha ndani ya jiji la Dar Es Salaam kwa siku mbili mfululizo.Mvua hizi zinazoendelea katika maeneo yote ya jiji hili zinaambatana na kusababisha mafuriko katika baadhi ya Maeneo ya jiji hili.

Pia mvua hizi zimepelekea kusimama kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi kushika kasi mbali na kuleta madhara kwa baadhi ya kaya kupoteza vitu,na kuwa katika mazingira magumu.


Usafiri umekua mgumu katika baadhi ya maeneo na kurudisha nyuma kasi ya maendeleo,mbali na kuwapa wakati mgumu wanafunzi kufika mashuleni.

No comments:

Post a Comment