Michezo
hiyo inayoambatana na kupigwa kwa nyimbo za dini na utoaji wa injili takatifu
hufanyika katika eneo lenye mkusanyiko wa watu hasa pembezoni mwa vituo vya
daladala.
Mchezo
huo umekua maarufu sana katika eneo la Ukonga Mombasa jijini Dar Es Salaam na
kuonekana kuwavutia sana wakazi wa jamii husika na kujipatia umaarufu mkubwa
sana.
No comments:
Post a Comment