Mazingira
ya Ukonga saba saba yamekua hatarishi sana katika maisha ya wakazi wa eneo hilo
kiafya.
Katika
eneo hilo taka zimekua zikitupwa ovyo bila utaratibu maalumu wa kuhifadhi taka
hizo jambo linalopelekea uwezekano mkuba wa kuibuka kwa magonjwa ya mlipuko
kama kipindupindu hasa kipindi hiki cha mvua nyingi..
Taka hizo zinazokaribiana na mama lishe wanaowahudumia wakazi wa eneo hilo kwa kutoa
chakula kilicho safi na salama kwa maisha ya wakazi hao.
Mama
lishe hao wameonekana wakilaum hali hiyo na kuutupia lawama uongozi wa serikali
ya mtaa wa eneo husika.
Wakazi hao waliokaribu ya eneo hilo wameonekana wakitupa ovyo takataka japo wameonekana wakitupa japo wanautupia mpira uongozi wa serikali wa eneo hilo
No comments:
Post a Comment