2018 imeanza vema katika jiji la Mbeya na katika mwezi huu wa nne(4) Tulia Trust wamefanya ufunguzi wa project inayokwenda kwa jina la TULIA MARATHON.
Tulia marathoni inatazamiwa kushika kasi na kutoa picha kamili kwa wakazi wa jiji hilo.
TULIA MARATHON inadhaminiwa na Clouds media group,M dewji,CRDB Bank na itafanyika katika viwanja vya SOKOINE jiji Mbeya.
No comments:
Post a Comment