Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Thursday, April 12, 2018

USIKU WA PASSENGER WASUMBUA BABATI

Mji wa Babati umekumbwa na homa kali na hatari katika suala zima la sanaa ya music wa kizazi kipya .

Homa hiyo imewapata wakazi wa eneo hilo ndani ya wiki hii baada ya msanii wa Bongo flava anaejulikana sana kwa jina laSheta kuandaa tamasha hilo maeneo hayo.


Sheta amefanikiwa kufanya kazi na wasanii mbalimbali ndani nan je ya nchi na akiwa Babati alikua na kazi moja kubwa ya kuwatambulisha wasanii wake wapya wanaokwenda kwa jina la The MAFIK na ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la PASSENGER.




No comments:

Post a Comment