Ikiwa ni mpango mkakati wa guta86.blogspot.com kuitangaza sanaa ya Tanzania na kuboresha upatikanaji wa habari kwa Watanzania kiurahisi na kujenga utamaduni kwa Watanzania kupata habari sahihi.Pia guta86.blogspot.com ni wadau wakuu wa suala zima la masoko ya Mkaa Songwe.
Edwin Malima anawakaribisha Watanzania kuwekeza katika mradi huu wa Mkaa songwe na kujipatia kipato.Unakaribishwa kuwa wakala wa Mkaa Songwe.
No comments:
Post a Comment