Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Thursday, August 23, 2018

MKAA SONGWE

Katika kuelekea kuondoa matumizi ya mkaa wa miti ili kulinda na kuhifadhi mazingira Ofisi ya Mkuu wa Songwe imeongeza nguvu katika kutoa elimu na kuzalisha mkaa songwe.

Jambo hili limepelekea viongozi mbali mbali kufika(Tirdo-Tanzania Industry Reseach Development Organisation) kushuhudia na kutazama jinsi uzalishaji unavyoendelea kuhakikisha kiwango cha mkaa unaozalishwa unakizi mahitaji wa Watanzania.

Mkaa Songwr unaozalishwa kwa ubora w hali ya juu na kiwango stahiki kwa matumizi ya nyumbani umekua suruhisho la mahitaji ya Watanzania na nchi za jirani.

No comments:

Post a Comment