Drop Down MenusCSS Drop Down MenuPure CSS Dropdown Menu

Marketing Executive

Wednesday, July 31, 2019

FURSA#NAFASI NI YAKO#ARUSHA

Kupitia kipindi bora kabsa cha TV kinachoitwa FURSA#Nafasi ni yako# kinachoruka kupitia SIBUKA TV ya jijini Dar es salaam,Tanzania kinachokutana na vijana ktk mkoa wa Arusha.

Kupitia kipindi hiki kuna shindano linaloendelea ktk kumsaka mrembo atakae iwakilisha Arusha kutengeneza tangazo la maji ya kunywa ya kampuni Moja hapa nchini.

Friday, June 21, 2019

FURSA #NAFASI NI YAKO# NA BUSHBUCK SAFARI ARUSHA

Kipindi bora kabsa cha TV kupitia SIBUKA TV ya jijin Dar es salaam, Tanzania inayopatikana katika ving'amuzi vya ZUKU na STARTIMES kila jumatano na jumamosi saa 12:00 jion kimeendelea kua kipindi bora kabsa cha wajasiriamali wa Kitanzania.

Kipindi hiki kimefanikiwa kukutana na wajasiriamali wa Kitanzania na kuonyesha nguvu kubwa hasa Kwa kuitangaza Tanzania.

Crew nzima ya FURSA ilifanikiwa kufanya mazungumzo na moja ya kampun kubwa sana ya kitalii jiji Arusha inayojulikana Kwa jina la Bushbuck inayomilikiwa na Mr Mustafa Panju.

Hii imekua ni njia pekee ya kuitangaza Tanzania na kukuza ujasiriamali wa kitanzania.

Wednesday, May 8, 2019

FURSA #NAFASI NI YAKO#KATIKA SIBUKA TV KUPITIA STARTIMES NA ZUKU

Kipind bora kabsa cha Wa tanzania wote wenye malengo na maono chanya kimeanza kuruka kupitia SIBUKA TV ya jijini Dar Es Salaam inayopatkana katika king'amuzi cha ZUKU na STARTIMES.

FURSA ni kipindi kinachotoa elimu ya ujasiriamali na shughuli mbalimbali zinazofanyika ndani ya nchi yetu ya Tanzania.

Kipindi hiki kimejizolea umaarufu mkubwa sana kwa wakazi wa Dar Es Salaam baada ya kuonekana kukidhi mahitaji yao hasa katika suala zima la kukuza na kuendeleza taarfa sahihi juu ya mabadiliko ya maendeleo nchini yanayofanywa na watanzania.
Kupitia kipind hiki unapewa NAFASI ya kushiriki kwa kutoa NAFASI ili jopo zima la FURSA likufiki na kufanya mahojiano ndani ya kipindi hiki booraaa kabsa.
Tembelea zaidi blog ya kijanja guta86.blogspot. Com na you tube Chanel ya FURSA NAFASI ni yako pia instagram@fursa NAFASI ni yako Sambamba na Facebook fursa NAFASI ni yako.
Unakaribishwa kutangaza biashara yako kupitia kipindi hiki popote pale tulip ndani na nje ya nchi
Fursa #nafasi ni yakooooooo#

Tuesday, February 5, 2019

IPS CHUO BORA KABSA KANDA YA ILALA KINACHOTOA FANI MBALIMBALI

Ni katika kuhakikisha Watanzania wanapata elimu bora na uwezo wa kujiajiri pia kuajiriwa katika taasisi,makampuni,na sekta binafsi imepelekea Chuo cha IPS kilichopo Chanika,Ilala,Dar es salaam kupata utatuz wa jambo hilo.

IPS ni Chuo chenye fani mbalimbali na kinausajili wa kudumu na kina usajili wa VETA Kwahyo pia kinatoa mafunzo ya fani husika zinazotambulika na VETA.

IPS(Institute of Procurement and supply) kina walimu wa kutosha wenye uwezo na kuthibitishwa pia vigezo vya ufundishaji.

Unaweza kufika chuoni hapo kwa uhakika zaidi na kupata muongozo ulio bora kabsa kwa elimu sahihi.

Unaweza wasiliana na Chuo kupitia namba 0686 971 676 na email address 86guta@gmail.com.

Karibu IPS kwa elimu bora kabsa.
                                Asanten

Sunday, February 3, 2019

KIPINDI BORA CHA TV KINACHOJULIKANA KWA JINA LA FURSA KUKAMILIKA MWEZI WA PILI 2019

ODM Film Company kampuni bora kabisa kwa uandaaji na utayarishaji wa video za aina tofauti ama mbalimbali imekamilisha kipindi cha TV kinachojulikana kwa jina la FURSA  chenye kauli mbiu isemayo NAFASI NI YAKO.Kipindi hiki chenye ubora wa hali ya juu na kinachoelimisha jamii kimeandaliwa chini ya Madirector wawili wenye uzoefu mkubwa wa kuandaa vipindi vya aina hii ambao ni Ali .B.Osenga na Damu Niwagira.
Kipindi hiki kimebuniwa na kuhaririwa na Edwin Malima ambae pia ni Mtangazaji wa kipindi hiki akishirikiana na Amboni Patrick ambae ni mtangazaji wa kike.
Unaweza tembelea pia Youtube chanel ya ODM TZ ama instagram page odmfilm kwa taarifa zaidi.

Monday, January 7, 2019

ODM FILM Kuandaa Fursa

Kampuni maarufu jijini Dar Es Salaam inayofahamika kwa jina la ODM Film Company imeingia katika hatua kubwa zaidi.

ODM kwa ushirikiano na guta86.blogspot. Com wanaandaa kipind cha Tv kitakacho weza kuonekana katika moja ya station maarufu nchini Tanzania kuptia king'amuzi cha Star times.

Ni fursa pekee kwa makapuni na taasisi mbalimbali pia watu binafsi kutoa sapot ili kufankisha suala hili.


Sunday, November 11, 2018

International Marketing Corporation(IMC)na bidhaa mpya na bora.

International Marketing Corporation( IMC) ni company inayofanya shughuli zake duniani kote na kwasasa umefika Tanzania.

Kwa ushirikiano wa India na Japan wameweza kutengeneza bidhaa bora kwa afya ya mwanadamu yenye uwezo mkubwa wa kuondoa Bacteria na Virus katika Maeneo mbali mbali kama ndani ya nyumba,jikoni,na hata hospital ICU.

Wasiliana nasi kwa:-

Namba: +255 752 445 260
Email address: 86guta@gmail.com